Papa Benedikto III

Papa Benedikto III alikuwa Papa kuanzia mwezi Julai au tarehe 29 Septemba 855 hadi kifo chake tarehe 17 Aprili 858[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Benedikto III.

Alimfuata Papa Leo IV akafuatwa na Papa Nikolasi I.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.