Papa Boniface IX
Papa Boniface IX (1356 – 1 Oktoba 1404) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Novemba 1389 hadi kifo chake[1]. Alitokea Napoli, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Piero Tomacelli.
Alimfuata Papa Urbano VI akafuatwa na Papa Inosenti VII.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |