Papa Boniface VIII

Papa Boniface VIII (takriban 123511 Oktoba 1303) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Desemba 1294/23 Januari 1295 hadi kifo chake[1]. Alitokea Anagni, Italia[2].

Papa Bonifasi VIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Caetani.

Alimfuata Papa Selestini V akafuatwa na Papa Benedikto XI.

Ndiye aliyeanzisha jubilei katika Kanisa Katoliki (1300).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.