Papa Caio

Papa Caio alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Desemba 283 hadi kifo chake tarehe 22 Aprili 296[1].

Papa Kayo

Alimfuata Papa Eutychian akafuatwa na Papa Marcellinus.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[2].

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.html
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Caio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.