Papa Callixtus II (alifariki 13/14 Desemba 1124) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Februari 1119 hadi kifo chake[1]. Alitokea Burgundy, leo nchini Ufaransa[2].

Papa Kalisti II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guy wa Burgundy.

Alimfuata Papa Gelasio II akafuatwa na Papa Honori II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Callixtus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.