Mtakatifu Selestino I.

Papa Celestino I alikuwa papa kuanzia 10 Septemba, 422 hadi kifo chake tarehe 26 Julai, 432.

Alimfuata Papa Boniface I akafuatwa na Papa Sixtus III.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 6 Aprili au 8 Aprili.

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.