Papa Damaso II
(Elekezwa kutoka Papa Damasus II)
Papa Damaso II (alifariki 9 Agosti 1048) alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Julai 1048 hadi kifo chake siku chache baadaye[1]. Alitokea Bavaria, Ujerumani, ila alikuwa askofu wa Brixen, leo nchini Italia.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Poppo.
Alimfuata Papa Benedikto IX akafuatwa na Papa Leo IX.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Damaso II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |