Papa Eutychian
Papa Eutychian alikuwa Papa kuanzia tarehe 4 Januari 275 hadi kifo chake tarehe 7 Desemba 283.
Alimfuata Papa Felisi I akafuatwa na Papa Kayo.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama piaEdit
Maandishi yakeEdit
TanbihiEdit
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eutychian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |