Papa Felix III

Papa Felix III alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Machi 483 hadi kifo chake tarehe 25 Februari/1 Machi 492[1]. Alitokea Roma, Italia.

Mt. Felisi III.

Alimfuata Papa Simplicio akafuatwa na Papa Gelasio I.

Kutokana na watoto aliowazaa kabla hajachaguliwa, walipatikana baadaye Papa Agapeto I (mjukuu) na Papa Gregori I (kitukuu).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 1 Machi[2].

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.