Papa Felix IV

Papa Felix IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 526 hadi kifo chake tarehe 22 Septemba 530.

Mozaiki ya Mt. Felisi IV.

Alimfuata Papa Yohane I akafuatwa na Papa Bonifasi II.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 22 Septemba[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

{reflist}}

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Martyrologium Romanum