Papa Gregori IV alikuwa Papa kuanzia mnamo Septemba 827 au tarehe 29 Machi 828 hadi kifo chake tarehe 25 Januari 844[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Gregori IV.

Alimfuata Papa Valentino akafuatwa na Papa Sergio II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.