Papa Gregori V

Papa Gregori V na ndugu yake Kaisari Otto III.

Papa Gregori V (takriban 97218 Februari, 999) alikuwa papa kuanzia 3 Mei, 996 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bruno.

Alimfuata Papa Yohane XV akafuatwa na Papa Silvester II.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.