Papa Innocent VII

Papa Innocent VII (takriban 13366 Novemba 1406) alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Oktoba 1404 hadi kifo chake.

Papa Inosenti VII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Cosimo de' Migliorati.

Alimfuata Papa Bonifasi IX wakati wa Farakano la Kanisa la Magharibi, akafuatwa na Papa Gregori XII.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.