Papa Innocent VI

(Elekezwa kutoka Papa Inosenti VI)

Papa Innocent VI (1282 au 129512 Septemba 1362) alikuwa Papa kuanzia tarehe 18/30 Desemba 1352 hadi kifo chake[1]. Alitokea Monts, Ufaransa[2].

Papa Inosenti VI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Étienne Aubert.

Alimfuata Papa Klementi VI akafuatwa na Papa Urbano V.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.