Papa Klementi XIII

Papa wa Kanisa Katoliki kutoka 1758 hadi 1769
(Elekezwa kutoka Papa Klement XIII)

Papa Klementi XIII (7 Machi 16932 Februari 1769) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/16 Julai 1758 hadi kifo chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2]. .

Papa Klementi XIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Carlo Rezzonico.

Alimfuata Papa Benedikto XIV akafuatwa na Papa Klementi XIV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.