Papa Klementi VIII

Papa Klementi VIII (24 Februari 15363 Machi 1605) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Januari 1592 hadi kifo chake.

Papa Klementi VIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ippolito Aldobrandini.

Alimfuata Papa Inosenti IX akafuatwa na Papa Leo XI.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.