Papa Klementi X (13 Julai 159022 Julai 1676) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Aprili/11 Mei 1670 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Klementi X.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Emilio Bonaventura Altieri.

Alimfuata Papa Klementi IX akafuatwa na Papa Inosenti XI.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.