Papa Lucius III (109725 Septemba 1185) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/6 Septemba 1181 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lucca, Italia[2].

Papa Lucius III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ubaldo Allucingoli.

Alimfuata Papa Aleksanda III akafuatwa na Papa Urbano III.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Lucius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.