Papa Valentino

Papa Valentino alikuwa Papa kwa wiki chache tu kuanzia tarehe 1 Septemba 827 hadi kifo chake mwezi Oktoba 827.

Papa Valentino.

Alimfuata Papa Eugenio II akafuatwa na Papa Gregori IV.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Valentino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.