Papa Yohane VIII

Papa Yohane VIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Desemba 872 hadi kifo chake tarehe 16 Desemba 882.

Papa Yohane VIII.

Alimfuata Papa Adriano II akafuatwa na Papa Marinus I.

Anatazamwa kama mmoja kati ya Mapapa bora wa karne ya 9.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.