Papa Yohane X
Papa Yohane X alikuwa Papa kuanzia Machi 914 hadi Mei 928 alipofungwa na watawala wa mji wa Roma. Alifariki kifungoni mwaka uleule au 929.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni da Tossignano.
Alimfuata Papa Lando akafuatwa na Papa Leo VI.
Maandishi yakeEdit
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |