Paris Hilton

Hilton mnamo Oktoba 2021
Hilton mnamo Oktoba 2021
Paris Whitney Hilton (alizaliwa Februari 17, 1981)[1] ni mfanyabiashara, mwanamitindo, mwimbaji, DJ, na mwigizaji. Alizaliwa jijini New York, na kukulia huko Beverly Hills, California, Hilton ni mjukuu wa Conrad Hilton, mwanzilishi wa Hilton Hotels.Edit

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paris Hilton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya NjeEdit

  1. "Happy 40th birthday, Paris Hilton! The socialite, reality star and DJ through the years", USA Today, February 17, 2021.