Open main menu

Paris Saint-Germain FC (matamshi ya Kifaransa: [paʁi sɛ ʒɛʁmɛ]; inayojulikana kama PSG) ni klabu ya soka ya Ufaransa iliyoko katika mji wa Paris. Ilianzishwa mwaka 1970. Klabu hiyo inavaa jezi zenye rangi ya buluu na nyekundu. Timu imecheza mechi 47,925 za nyumbani katika uwanja wao wa Parc des Princes. Klabu hiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya ligi ya Ufaransa.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paris Saint Germain F.C. (PSG) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.