Uwanja wa michezo wa Parow park

(Elekezwa kutoka Parow park)

Uwanja wa michezo wa Parow Park ni Uwanja wa michezo huko Cape Town,nchini Afrika Kusini.

Uwanja huo umetumika kuandaa mechi mbali mbali za mpira wa miguu za Ligi Kuu ya Soka na timu za Daraja la Kwanza, ikiwa ni pamoja na Cape Town All Stars, Santos F.C. Afrika Kusini Santos F.C. Stellenbosch F.C, Ubuntu Cape Town F.C. Ubuntu Cape Town[1][2]

Marejeo hariri

  1. "Premier Soccer League - www.psl.co.za - official website". www.psl.co.za. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Parow Park Stadium - Soccerway". SoccerWay (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 23 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Parow park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.