Patermuti na wenzake

Patermuti na wenzake Kopra na Aleksanda (walifariki 363 hivi) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi[1].

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai[2][3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Patermutius, a notorious robber and thief, converted to Christianity, brought to the faith by Saint Copra. Desert hermit in Egypt. At age 75, he was arrested in the persecutions of Julian the Apostate for refusing to sacrifice to idols. Julian sent Copra, who had renounced Christianity, to convince Patermutius to do the same. Instead, Patermutius brought Copra back to the faith. Thrown into a flaming furnace for his defiance, he was unharmed by the fire and was seen standing and praying; this show of faith and strength brought Saint Alexander of Egypt to convert. Patermutius was then pulled from the furnace and executed.
  2. http://catholicsaints.info/saint-patermutius-of-egypt/
  3. http://catholicsaints.info/saint-copra-of-egypt/
  4. http://catholicsaints.info/saint-alexander-of-egypt-9-july/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.