Patrick Cullinan
Mshairi wa Afrika Kusini
Patrick Roland Cullinan (amezaliwa 25 Mei 1933 mjini Pretoria) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Alisoma Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza, akawa mkufunzi wa lugha ya Kiingereza mjini Cape Town. Hasa alitunga mashairi.
Patrick Cullinan | |
Amezaliwa | Patrick Roland Cullinan Pretoria, Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 25 Mei 1933 Cape Town, Afrika Kusini |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi |
Vitabu vyake
hariri- Today is not different (1978)
- White Hail in the Orchard (1984)
- Selected Poems (1994)
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Patrick Cullinan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |