Paul Benoit
Paul Benoit (14 Januari 1850 – 19 Novemba 1915) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa.
Alibatizwa kwa jina la Joseph Paul Augustine.
Mwaka 1874 alimaliza shahada ya Uzamivu katika teolojia katika Chuo cha Mtakatifu Thomas huko Roma, Chuo Kikuu cha Kipapa cha baadaye cha Mtakatifu Thomas Aquinas, Angelicum.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Biographie – BENOIT, PAUL – Volume XIV (1911-1920) – Dictionnaire biographique du Canada". www.biographi.ca. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |