Paul Modrich

Tuzo Nobel.png

Paul Modrich (amezaliwa 13 Juni, 1946) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jinsi ya kutibu saratani. Mwaka wa 2015, pamoja na Tomas Lindahl na Aziz Sancar, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Paul L. Modrich, Stockholm December mwaka 2015
Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Modrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.