Paulina Chávez
Paulina F. Chávez (amezaliwa El Paso, Texas, 22 Mei 2002) ni mwigizaji wa Marekani.
Mnamo mwaka 2020 ripoti za Hollywood walimtaja kuwa mmoja kati ya top 30 ya mastar bora walio na umri chini ya miaka 18. Ameigiza filamu kama The Expanding Universe of Ashley Garcia, Fate: The Winx Saga, Landman, The Long Game, The Casagrandes Movie, Alexander and the Terrible, Horrible, No Good, Very Bad Road Trip na nyinginezo.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paulina Chávez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |