Paulina wa Fulda (karne ya 1114 Machi 1107) alikuwa mwanamke wa Ujerumani ambaye alifunga ndoa mara mbili.

Baada ya kufiwa mumewe wa pili pia alianzisha monasteri ya Paulinzelle msituni huko Thuringia[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake, 14 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.