Paw Fum (jina lake kamili ni Paxton Michael Ford; alizaliwa 15 Mei 1997) ni mwanamuziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva).

Paw Fum
Jina la kuzaliwa Paxton Michael Ford
Amezaliwa 15 Mei 1997 (1997-05-15) (umri 26)
Asili yake Kilimanjaro, Bendera ya Tanzania Tanzania.
Aina ya muziki Dansi
Hip Hop
Pop
Rock
Rap
Bongo Flava
Kazi yake Mwanamuziki
Mwandishi
Mchezaji
Mwigizaji
Mfanyabiashara
Ala Ngoma
Sauti
Aina ya sauti Pop
Miaka ya kazi 2020 - hadi leo
Studio RB Studio (Randu Boy Studio)
Tovuti https://www.youtube.com/pawfum/YT]

Paw Fum amepata msukumo wa kuimba kutoka kwa baba na babu yake ambao walifurahia kuimba na kucheza.[1]Baadhi ya nyimbo zake ni pamoja na Ooh (2020), Touch Me na Kokoriko (2021).[2] Paw Fum ni mtoto wa tisa katika familia ya Michael, alisoma elimu ya msingi na elimu ya sekondari na akamalizia katika shule ya Ungwasi.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paw Fum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.