Pembe butu

Pembe butu (ing. obtuse angle) ni pembe ambayo ni kubwa kuliko pembe mraba (=nyuzi 90°) na ndogo kuliko nyuzi 180°.Mifano ya pembe butuEdit

Viungo vya NjeEdit

Obtuse angles on math-is-fun