Peter Agre
Peter Agre (amezaliwa 30 Januari 1949) ni mganga na mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza protini maalum inayosafirisha maji katika chembe hai. Mwaka wa 2003, pamoja na Roderick MacKinnon alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Agre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |