Peter Crouch
Wachezaji mpira wa Uingereza
Peter James Crouch (amezaliwa 30 Januari 1981) ni mchezaji wa mpira kutoka Uingereza. Anachezea kilabu cha Tottenham Hotspur.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Crouch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |