Peter Howson OBE (alizaliwa London, 27 Machi 1958)[1] ni mchoraji wa Uskoti. Alikuwa msanii rasmi wa vita wa Uingereza mwaka 1993 wakati wa Vita vya Bosnia na Herzegovina.

Peter Howson

Maisha ya awali

hariri

Peter Howson alizaliwa na Waskoti na alihamia na familia yake huko Prestwick, Ayrshire, alipokuwa na miaka minne. [2] Bibi yake alimpa seti ndogo ya rangi za mafuta alipokuwa na umri wa miaka sita. Alilelewa katika familia ya kidini na mchoro wake wa kwanza alioufanya ulikuwa wa Kusulubiwa, alipokuwa na umri wa miaka sita.[3]

Marejeo

hariri
  1. Howson, Peter (27 March 1958), Benezit Dictionary of British Graphic Artists and Illustrators. Oxford University Press. 27 Machi 1958. ISBN 9780199923052. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. When the Apple Ripens: Peter Howson at 65 (exhibition)
  3. "Peter Howson's first ever oil painting up for sale". www.scotsman.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-24.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Howson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.