Peter C. MacNicol (amezaliwa tar. 10 Aprili 1954) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy, akiwa kama mwigizaji filamu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Tom Lennox kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Peter MacNicol

Amezaliwa Peter C. MacNicol
10 Aprili 1954 (1954-04-10) (umri 69)
Dallas, Texas, Marekani
Ndoa Marsue MacNicol (1986–hadi leo)

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter MacNicol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.