Peter Tsotsi Juma
Peter Tsotsi Juma (alizaliwa mwaka 1932) jina lake la kuzaliwa ni Peter Juma alikuwa msemaji wa watu, mchambuzi wa kijamii na mwanamuziki wa Zambia. Alipata umaarufu na wimbo wake wa Muka Muchona. Alitumia muda mwingi wa miaka yake ya kazi huko Zambia na Afrika Mashariki. Alihamia Tanzania mnamo mwaka 1940 na kisha akahamia Kenya ambako alioa na kuishi huko. Muziki wake umeainishwa kama Zam-Rhumba.[1][2][3][4]
Anafahamika sana kwa nyimbo zake Bashi Chanda (Njebeniko Njishibe Ichishinka), Tyson na Muka Muchona ambazo zilirekodiwa aliporejea Zambia kutoka Kenya.[1]
Aliishi Kenya kwa muda mrefu na kufafanya kuwa nyumbani kwake. Alioa mwanamke Mkenya aliyefahamika kwa jina la [[Margaret Njiru], ambaye alizaa naye watoto watano, wasichana watatu na wavulana wawili. Mnamo mwaka 1962, alikutana na Mzambia mwenzake Nashil Pichen Kazembe wakafanya nyimbo kadhaa pamoja.
Peter Tsotsi Juma na Nashil Pichen walicheza katika jukumu muhimu la ukuzaji wa mtindo wa twist wa Bendi ya Equator Sound, iliyoigwa baada ya mdundo wa kwela wa Afrika Kusini.[5] Alifariki mwaka 2000.
Discografia
haririNyimbo zilizochaguliwa
hariri- Umaume Tachepa
- Congratulations KK
- Bush Baby
- Twist
- Tamaa Mbaya
- Nkumbuka Adija
- Mulofa Moja (Poor Fellow)
- Emi Nitakufa Nae
- Kajo Golo Weka
- Muka muchona
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Times of Zambia - Peter Tsotsi Juma: Legacy lives on". Times.co.zm. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Zambia: Peter 'Tsotsi' Juma - All-Time Zam-Rumba Maestro". AllAfrica.com. 27 Aprili 2013. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Zambia: Peter Tsotsi Juma - Legacy Lives On". AllAfrica.com. 7 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Peter Tsotsi Juma, The Eagles Lupopo - Kajo Golo Weka, by Various Artists". Soundway Records. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-18. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kenya : Music". Afromix.org. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)