Petro III wa Aleksandria

Petro III wa Aleksandria (alifariki 11 Novemba 489) kuanzia mwaka 477 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 27 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Maandishi yake hayajatufika.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.