Petro Zhou Rixin (Zhujiahe, 1881 hivi - Loujiazhuang 20 Julai 1900) alikuwa kijana mlei wa China aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa wakati wa Uasi wa Waboksa kwa sababu mbele ya gavana, aliyemhimiza sana kumkana Muumba wa mbingu na dunia, alikataa katakata[1].

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 20 Julai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.