Pharaoh Sanders
Pharaoh Sanders alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Farrell Sanders. Alizaliwa 13 Oktoba 1940 huko Little Rock, Arkansas. Alikuwa anapiga muziki wa Jazz.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 9 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pharaoh Sanders kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |