Philip John Noel-Baker (1 Novemba, 18898 Oktoba, 1982) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uingereza. Wakati wa ujana wake alikuwa mwanariadha hodari akashinda nishani ya fedha katika Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1920.

Philip Noel-Baker

Anajulikana hasa kwa kazi yake kwa ajili ya upunguzaji wa silaha za vita. Mwaka wa 1959 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani. Yeye ni mtu wa pekee wa kupokea tuzo ya Nobel an pia nishani ya Olimpiki.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philip Noel-Baker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.