Philippe Cuénoud (alizaliwa 1968) ni mwanasayansi wa wadudu na mimea anayeishi Geneva, ambaye alifanya kazi juu ya Nzi-gome wa Uswisi [1] na Papua New Guinea [2], na juu ya mageuko ya mimea [3].

Philippe Cuénoud na slothi katika Panama, 2006.

Cuénoud alihusika katika mradi wa Ibisca ("Investigating the Biodiversity of Soil and Canopy Arthropods"), ukiongozwa na Bruno Corbara, Maurice Leponce, Hector Barrios na Yves Basset (kwa usaidizi wa awali kutoka kwa Edward O. Wilson). Hii ilitoa data mpya juu ya bioanuwai ya msitu wa mvua wa San Lorenzo kwenye pwani ya Karibea ya Panama (katika makala ya timu ya Ibisca ambayo iliangaziwa kwenye jalada la jarida "Science", jumla ya idadi ya spishi za arthropod ilikadiriwa kuwa karibu 25,000 [4]).


Tanbihi

hariri
  1. Cuénoud, Philippe; Lienhard, Charles (1994). "Les Psocoptères du Bassin Genevois". Bulletin Romand d'Entomologie (kwa French). 12: 7–41.{{cite journal}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. Cuénoud, Philippe (2008). "A revision of the New Guinean genus Novopsocus Thornton (Psocoptera, Pseudocaeciliidae) with the description of two new species". Revue Suisse de Zoologie. 115: 331–340. doi:10.5962/bhl.part.80430.
  3. Cuénoud P., Savolainen V., Chatrou L.W., Powell M., Grayer R.J., Chase M.W. (2002). Molecular phylogenetics of Caryophyllales based on nuclear 18S rDNA and plastid rbcL, atpB, and matK DNA sequences. American Journal of Botany, 89: 132-144.
  4. Basset, Y., Cizek, L., Cuénoud, P., Didham, R.K., Guilhaumon, F., Missa, O., Novotny, V., Ødegaard, F., Roslin, T., Schmidl, J., Tishechkin, A.K., Winchester, N.N., Roubik,D.W., Aberlenc, H.-P., Bail, J., Barrios, H., Bridle, J.R., Castaño-Meneses, G., Corbara, B., Curletti, G., Duarte da Rocha, W., De Bakker,D., Delabie, J.H.C., Dejean, A., Fagan, L.L., Floren, A., Kitching, R.L., Medianero, E., Miller, S.E., de Oliveira, E.G., Orivel, J., Pollet, M., Rapp, M., Ribeiro, S.P., Roisin, Y., Schmidt, J.B., Sørensen, L., & Leponce, M. (2012). Arthropod diversity in a tropical forest. Science, 338: 1481-1484.
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philippe Cuénoud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.