Phoebe Noxolo Abraham

Phoebe Noxolo Abraham (alizaliwa oktoba mwaka 1960) Ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambae amekuwa [[mjumbe]] wa baraza la Taifa la Afrika Kusini. Ni mjumbe wa makongamano ya waafrika. Alishika nafasi ya 103 katika orodha ya vyama kwenye uchaguzi mkuu wa Afrika kusini mnamo mwaka 2019[1].

Ni Mjumbe wa kamati kuu ya fedha.

Alikuwa ni mwanachama wa jimbo la mashariki la [[Cape.]]

Marejeo

hariri
  1. https://www.pa.org.za/person/noxolo-abraham-ntantiso/