Phoeby Okech

Mcheza mpira wa kenya

Phoeby Okech alizaliwa 10 Oktoba 1994 ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Kenya anaechezea timu ya Vihiga Queens na timu ya taifa ya wanawake nchini Kenya.

Marejeo

Jamii

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Phoeby Okech kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.