Faili:Pesa DOA 1892-1309 B.JPG

Faili halisi(piseli 1,476 × 1,449, saizi ya faili: 490 KB, aina ya MIME: image/jpeg)

Muhtasari hariri

1 pesa ya mwaka 1892 BK (1309 BH) (nyuma) iliyotolewa na Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki; pesa 64 zilifanya rupie 1.

Inaaminiwa ya kwamba hii ni sarufi ya pesa moja ingawa haina maandishi inayoonyesha thamani yake. Upande huu una maandishi ya Kiarabu yanayosema "sharika almaniya 1309 sina" (kampuni ya Kijerumani mwaka 1309 yaani baada ya hijra).

Upande wa nyuma una maandishi ya Kijerumani yanayosema "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki) pamoja na nembo la tai wa Dola la Ujerumani pamoja na taji la kaisari, halafu mwaka 1892 (BK).

Hatimiliki: hariri

Historia ya faili

Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.

Tarehe/SaaPicha ndogoVipimoMtumiajiMaelezo
sasa hivi13:41, 24 Januari 2009Picha ndogo ya toleo la 13:41, 24 Januari 20091,476 × 1,449 (490 KB)Kipala (majadiliano | michango)1 pesa ya mwaka 1892 BK (1309 BH) (nyuma) iliyotolewa na Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki; pesa 64 zilifanya rupie 1. Inaaminiwa ya kwamba hii ni sarufi ya pesa moja ingawa haina maandishi inayoonyesha thamani yake. Upande huu una maandishi

Ukurasa huu umeunganishwa na faili hili:

Data juu