Pier Gerlofs Donia
Pier Gerlofs Donia aliishi kuanzia mwaka 1480 hadi 1520. Alikuwa jitu lenye miguu ambalo inasemekana alikuwa na urefu wa zaidi ya futi 7. Huyu alipigania uhuru wa Friesland. Donia pia alikuwa akifahamika kama Grutte Pier, ambayo ina maana ya "Kijana Mkubwa", kwa lugha ya Kifrisia, au Grote Pier, ambayo ina maana sawa tu kwa lugha ya Kidutch. Huyu tena alikuwa haramia. Jitu hili lilipigana vita dhidi ya watu wa kutoka Uholanzi na Ujerumani, na Waburgundia. Katika mapambano yake makubwa ya baharini, aliziteka nyara meli zipatazo 28, na akaua takriban watu 500 ambao wote aliowakamata kama mateka. "Kijana Mkubwa" halafu baadaye waliita "Msalaba wa Wadutch".
Viungo vya nje
hariri- Genealogy - Pier Gerlofs Donia at BradandKathy.com
- Genealogy - Pier Gerlofs Donia at Langenberg-Laagland.com, see Pier Gerlofs biography, downloadable PDF
- DOC Volksverhaal (Meertens Institute) Archived 20 Mei 2008 at the Wayback Machine. on the saga (Dutch)
- Another page with a lot of useful information + images of Pier with the Frisian-flag + image's of Piers' statue in Kimswerd, Frisia (Dutch)
- Sound clip of Pier's rhyme
- About Piers' family-life, children and descendants
- Official website of Grutte Piers' village of originGrutte Piers Archived 14 Juni 2005 at the Wayback Machine. (Dutch)
- More information about Pier Gerlofs (Dutch)
- A web page containing loads of information about this family and their deeds and members Archived 20 Juni 2008 at the Wayback Machine.
- Rugbyclub Greate Pier article Archived 22 Juni 2008 at the Wayback Machine. (Dutch)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pier Gerlofs Donia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |