Pilipili (mwanamuziki)
Mwanamuziki wa Kenya
Peter Gatonye (amezaliwa Novemba 1982),[1] anajulikana kwa jina la kisanii kama Pilipili ni mwanamuziki wa nchini Kenya. Mwanzoni alishirikiana na mwanamuziki Gun B na kutoa wimbo wao maarufu unaojulikana kwa jina "Nampena". Pia aliimba wimbo akiwa na Ratat. Wimbo unaoitwa morale.
Viungo vya Nje
hariri- http://www.pilipilimusic.com Ilihifadhiwa 19 Agosti 2019 kwenye Wayback Machine.
- http://www.mzikifm.com/Pilipili/ Ilihifadhiwa 27 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
- https://www.facebook.com/pages/PILIPILI/26702768102
- http://www.reverbnation.com/pilipili
Marejeo
hariri- ↑ "Pilipili". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-27. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pilipili (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |