Pisa ni mji maarufu wa mkoa wa Toscana, Italia wenye wakazi 88,880 (31-12-2018).

Piazza dei Miracoli, yaani Uwanda wa Miujiza, kivutio kikubwa cha utalii. Kanisa kuu linazungukwa na batizio na mnara ulioinama.
ramani ya mji wa Pisa

Sehemu ya mji imo katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pisa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.