Piton de la Fournaise

Piton de la Fournaise ni volikano hai na safu ya milima ya kisiwa cha Reunion, katika bahari Hindi.

Urefu wake unafikia hadi mita 2,632 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri