Plakali
Plakali ni chakula kinachoandaliwa na watu wa Ahanta na Nzema kutokea magharibi mwa Ghana. Kinaandaliwa na mchanganyiko wa miogo iliyokandwa iliyowekwa kwenye maji ya koto, na kinafana na banku ambacho ni chakula kingine kutokea Ghana. Plakali huliwa na supu ya karanga.[1]
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |